The hidden mystery about nuts diamond - HabariMagic

Breaking

Kerajaan

BANNER 728X90

Monday, February 12, 2018

The hidden mystery about nuts diamond




Kwa muda mrefu kidogo diamond amekuwa akisifika kwa kuwa ni moja ya wasanii wachache walioamua kuwekeza katik biashara ukiachana na kazi ya muziki anayoifanya.diamond alizindua karanga za Diamond zinazotengenezwa na kampuni ya Smart na kuwa na manukato yake mwenyewe yanayojulikana kama chibu.
Lakini hivi karibuni kuna habari na tetesi zilizokuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii kuwa msanii huyo amekuwa akiwadanganya mashabiki wake kuwa karanga hizo ni za kwake kumbe karanga hizo zna ubia na watu wengine kutoka nje ya nchi lakini pia bosi wa clouds media pia amekuwa mstari wa mbele katika kufanikisha biashara hiyo.
Hata hivyo habari zilizopo mjini ni kwamba boss ya kampuni na bidhaa hiyo ya diamond karanga alikuwepo nchini siku za hivi karibuni na kupokelewa na Mmoja wa viongozi wa Clouds Media ambapo alikuwa kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya biashara hiyo iliyopewa jina la msanii huyo mkubwa.
Mwekezaji huyo alijulikana kwa jina la Mr. Radima aliweza pia kufanya ziara yake katika ofisi za Clouds Media hivi karibuni na kupokelewa na joseph kusaga hapo mikocheni, ambapo Mr Radima ni mmiliki wa kiwanda kinachozalisha diamond karanga ambapo msanii diamnd ni balozi wa karanga hizo .
Baada ya kusambaa kwa tetesi za ziara ya bosi huyo ndipo mashabiki wengi waliazna kufumbuka na kusema kuwa wengi wao walikuwa wakijua kuwa Diamond karanga ni baishara yake kumbe yeye ni balozi tu.

No comments:

Post a Comment